Tangazo

January 24, 2012

VODACOM YATOA SEMINA KWA WADAU KUTOKA TAASISI ZA KIFEDHA (TAMFI)

Mkuu wa Kitengo cha Mauzo cha Vodacom M-PESA, Franklin Bagalla na Meneja wa Vodacom M-PESA, Magesa Wandwi wakisikiliza swali kutoka kwa Mratibu wa Taasisi za Kifedha wa Mkoa wa Arusha, Hamisi Shelukamba wakati wa Semina ya Taasisi za Kifedha (TAMFI) iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya kunufaika na huduma Za M-PESA, semina hiyo ilifanyika  jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments: