Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (Kulia) akipata taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Marcellin Magesa (kushoto) katika Bandari ya Dar es Salaam leo. Kivuko hicho kitakuwa na uwezo wa kubeba watu 100 pamoja na kubeba tani 50 za mizigo kimegharimu shilingi 2,8 bilioni za serikali ya Tanzania, Kupatikana kwa kivuko hicho ni kati ya utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais Jakaya Kikwete kwa wakazi wa Mtwara vijijini, watakaofaidika na kivuko hicho, pamoja na vijiji vitano vya Namera, Sinde, Mkubiru, Mnete pamoja na Msanga Mkuu yenyewe vyote vipo Mtwara vijijni . (Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO). |
No comments:
Post a Comment