Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuzindua Maadhimisho ya Siku ya Wateja kwa Wafanyakazi wa Vodacom iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Februari 17.12. Katika maandimisho hayo wafanyakazi wa Vodacom walipita katika maeneo mbalimbali ya jiji na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma ya M-Pesa na Promosheni mbalimbali kampuni hiyo zinazoendelea za punguzo la utumiaji fedha la asilimia 75, bonus ya asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kwa mpesa na nyinginezo. PICHA/JOHN BADI wa Daily Mitikasi Blog |
No comments:
Post a Comment