Mama Esther Nyimbo Badi enzi za uhai wake hapa ilikuwa Jumatatu ya Krismas Desemba 26.2011 pale nyumbani Wilolesi Iringa Mjini. |
Safari ya mwisho ya Mama Esther Nyimbo Badi katika makaburi ya Igula-Ilembula. |
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Iringa, Owdenburg Mdegela na Askofu Mengele wakiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi. |
Hapa nikiweka taji la maua juu ya kaburi la mama. |
Mbunge wa Njombe Magharibi (CCM), Gerson Lwenge akitoa salamu za rambirambi za chama chake. |
No comments:
Post a Comment