Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana, Longinus Rutasitara akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wa (pili kushoto anayeshuhudia) ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue na (wa tatu kushoto) ni Karani wa Baraza la Mawaziri, Bwana Gerson Mdemu. |
No comments:
Post a Comment