Tangazo

May 29, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA FINLAND NA UJUMBE WAKE IKULU DAR ES SALAAM LEO.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wa Waziri wa Maendeleo wa nchini Finland, Heidi Hautala (wa pili kushoto kwa Makamu) aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi, Mei 29, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wajumbe walioongozana na Waziri wa Maendeleo wa Finland, Heidi Hautala (wa pili kutoka kwa Makamu) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi, Mei 29, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa Finland na Ujumbe wake mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo asubuhi Mei 29, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: