Tangazo

March 26, 2012

Waziri Mkuu Pinda akabidhiwa Kombe la UEFA na kuagana na Mwakilishi Mkazi wa UNHCR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia watu waliofika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kushuhudia wakati alipokabidhiwa kombe la UEFA jijini Dar es salaam Machi 26, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi mkazi wa shirika la Unoja wa mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), BW Oluseyi Bajulaye ambaye alikwenda ofisini kwa Wziri mkuu kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: