Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe (kushoto)akiwa na Rais mstaafu wa Zambia, Mzee Kenneth Kaunda ofisini kwake Lusaka, Zambia leo Machi 15.12. |
"Kicheko" baada ya Mh. Zitto kumkumbusha Mzee Kaunda kuhusu uamuzi wao na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika. |
No comments:
Post a Comment