Tangazo

May 21, 2012

WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAFUNDWA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (kushoto) na Waziri wa Zamani na mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma May 21,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa zamani na Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akitoa mada katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya  na  Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha St.Gaspar Mjini Dodoma May 21, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Baadhi ya washiriki wa Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja  na Makatibu Tawala wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kikao chao  kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma May 21, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: