Tangazo

June 26, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (kushoto ) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni Juni 26,2012.(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida (katikati) na Mbunge wa Mchinga,Said Mtanda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 26,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma  Juni 26, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: