Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (kulia) akimkabidhi jezi na pesa taslimu kiongozi wa Klabu ya Michael’s Pub, Michael Bundala wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Safarli Lager Pool Taifa Mkoa wa Tanga jana. Kushoto ni Meneja mauzo wa TBL Mkoa wa Tanga, Bahati Mbise.
|
No comments:
Post a Comment