![]()  | 
| Mhandisi Deusdedit Malulu akimvisha pete ya ndoa mke wake mpenzi Doris Kasaka aliyefunga nae ndoa takatifu jana. | 
![]()  | 
| Familia ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris Kasaka Malulu na Mhandisi Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana jioni. | 
![]()  | 
| Mhandisi Deusdedit Malulu na Mkewe Doris wakikata Keki kwa pamoja kuonyesha kuonyesha ishara ya umoja na mapendo. | 




No comments:
Post a Comment