![]() |
| Marehemu Belinda J. Mwapinga enzi za uhai wake. |
![]() |
| Jeneza lenye Mwili wa Belinda ukiwa katika Kanisa Katoliki la Extenal. |
![]() |
| Baba Padre akitoa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa Belinda. J. Mwapinga jana katika Kanisa la Katoliki Extenal Dar es salaam. |
![]() |
| Joseph Mwapinga mwenye suti nyeusi akiwa na watoto wake alioachiwa na mke wake kipenzi Belinda. |
![]() |
Wafanyakazi wa VODACOM Tanzania wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Belinda wakiufikisha katika makaburi ya Kinondoni.
|
![]() |
| Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria kwenye safari ya mwisho ya Belinda. |
![]() |
| Mhandisi Joseph Mwapinga akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mke wake. |








No comments:
Post a Comment