Tangazo

July 23, 2012

MKUTANO WA CCM MJINI KIGOMA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,) Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.

Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Steven Wasira akihutubia kwenye  mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.

Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga mkoani Kigoma.

Wazee kwenye mkutano wa CCM, Uwanjwa wa Community Centre Mwanga Kigoma.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akituzwa na Mbunge wa Kigoma Mjini,  Peter Serukamba alipocharaza gita, kwenye mkutano wa CCM, Uwanja wa Communiy Centre, Mwanga Kigoma.

Habibu Ally wa kikundi cha Ujiji cha Sebene akicharaza kinanda akiwa chali wakati wa mkutano huo.

No comments: