Tangazo

July 3, 2012

NMB KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Ofisa wa NMB, Salum Mnuna akito elimu ya mnatumizi ya fedha kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika jijini Dar es Salaa, waliofika katika banda la NMB katika maonesho ya Sabasaba.

Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akitoa elimu ya matumizi ya fedha  kwa watoto waliofika katika banda la NMB.

No comments: