Tangazo

July 18, 2012

UPDATES: AJALI YA MV SKAGIT HALI NIMBAYA

Habari zilizotufikia punde ni kwamba hali ni mbaya boti za uokoji zinajitahidi kuokoa licha ya kuwa upepo upepo ni mkali sana na Bahari imechafuka ila maiti zaidi ya 20 zimetolewa mpaka sasa, na watu 70-80  wameokolewa, ziadi ya 200 bado. Inasadikiwa meli ilikuwa na watu 250 hivi.

No comments: