Tangazo

August 30, 2012

MWILI WA ASKOFU WA MPANDA KIKOTI WAWASILI MPANDA

Mapadri wakiteremsha kutoka kwenye ndege mwili wa Marehemu Mhashamu Askofu  Pascal William Kikoti wa Mpanda  wakati ulipowasili kwenye uwanja wa ndege  wa Mpanda, Agust 30, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: