Tangazo

August 22, 2012

WAZIRI MKUU WA KENYA AZINDUA AIRTEL RISING STARS JIJINI NAIROBI

Mkurugenzi wa Masoko wa Arsenal, Angus Kinnear akimkabidhi jezi Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga wakati wa ufunguzi wa michuano ya Airtel Rising Stars jijini Nairobi, juzi. Michuano hiyo ambayo inashirikisha wavulana na wasichana chini ya umri wa miaka kumi na saba itamalizika Agosti 25. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko kutoka Manchester United, Jonathan Rigby.

Mkurungenzi wa Masokowa Manchester United, Jonathan Rigby (kushoto) akimkabidhi jezi Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga wakati wa ufunguzi wa michuano ya Airtel Rising Stars jijini Nairobi.

No comments: