Tangazo

August 22, 2012

CCM yakata Rufaa dhidi ya Hukumu ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora

Chama Cha Mapinduzi kimetafakari hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyotolewa jana Agosti 21, 2012 na Mahakama Kuu kanda ya Tabora.

Kimejiridhisha na kufanya uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kesi ya uchaguzi, dhidi ya Mbunge wa jimbo la Igunga mkoani Tabora Dokta Dalaly Peter Kafumu.

Kusudio hilo linatokana na kutorizishwa na hukumu hiyo.

Imetolewa na;-

Nape Nnauye

KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM 
WA ITIKADI NA UENEZI 
22/08/2012

No comments: