Tangazo

September 7, 2012

ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI WAMEAGWA LEO


Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa watatu wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam leo.

Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa, akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Devis Mwamunyange   akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Devis Mwamunyange   akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile.


Askari wa JWTZ wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi.

CDF Jenerali Mwamunyange akizungumza na Press.

No comments: