Tangazo

September 8, 2012

TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CME) YAWANOA WANAHABARI


Mkurugenzi Mkuu wa  Tume ya Usuluhishi na Maamuzi (CMA) (mwenye suti) akiongea na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam katika semina ya siku moja kwa wanahabari kuhusu taratibu za kutatua migogoro ya kila siku na changamoto zake sehemu za kazi Tanzania. Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CME) ni  taasisi ya Serikali iliyoundwa chini ya sheria ya Taasisi za kazi na .7 ya mwaka 2004. (Picha Zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Baadhi ya wanahabari wakipitia makabrasha.

Mdau wa Habari kutoka (UPL) Noor Shija (kushoto), akichangia mada katika semina hiyo.

No comments: