Tangazo

September 7, 2012

Mazishi ya Luteni Kanali mstaafu Makwaia katika Picha

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA) marehemu Luteni Kanali Mstaafu, Adam Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6, 2012 na serikali iliwakilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waombolezaji wakiuweka  kaburini mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA),Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, `Adam Hussein Makwaiya katika mazishsi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijiniDar es salaam Agust 6, 2012 na serikali iliwakilishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA), Luteni Kanali Mstaafu, Adam Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika  kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6,  2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: