Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa (TLSB), Dk. Alli Mcharazo (kushoto) akifanya makabidhiano na Mwakilishi wa serikali ya China (kulia), Ling U baada ya kusaini makubaliano katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam leo, ambapo Serikali ya watu wa China wamekabidhi vitabu vya kusomea, kompyuta na makabati ya kuwekea vitabu katika maktaba ya taifa ya vitabu nchini (TLSB). (Picha na Mwanakombo Jumaa MAELEZO) |
No comments:
Post a Comment