Tangazo

October 15, 2012

CCM KATA YA MSASANI WAPONGEZANA BAADA YA CHAGUZI

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akihutubia katika hafla ya wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es Salaam, kupongezana kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Menyekiti wa CCM wa Kata hiyo, Daudi Othmani.

Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimkabidhi cheti cha ushiriki katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa Chama, Kijana wa UVCCM, Mwanaidi Mapunda wakati wa sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es Salaam, kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Msasani Daudi Othmani.

Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimkabidhi cheti cha ushiriki katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa Chama, Kamanda wa UVCCM Kata ya Msasani, Dk. Suleiman Mohammed, wakati wa sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es salaam, kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Daudi Othmani.

Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwaaga wana-CCM, baada ya kushirikiiriki katika sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani,Dar es Salaam,  kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana.

Mwenyekiti wa CCM Tawi la Oysterbay, Juliana Kalubi (katikati), akijadiliana jambo na Katibu wa Tawi hilo, Edward Mbwambo (kushoto) na Katibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi hilo, Joachim Ngonyani wakati wa hafa hiyo.

Sehemu ya viongozi mbalimbali katika matawi ya kata hiyo wakiwa katika  hafla hiyo.

Mwenyekiti wa Tawi la Oysterbay, Mama Kalubi (kushoto), akifurahia jambo pamoja na viongozi waliokuwa meza kuu.

No comments: