Tangazo

October 15, 2012

Rais Kikwete awasili Muscat Oman kwa Ziara rasmi ya Siku tatu

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat Oman leo mchana kwa ziara rasmi(State Visit) ya siku tatu nchini Oman.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultani jijini Muscat leo. (picha na Freddy Maro)

No comments: