Tangazo

November 28, 2012

UZINDUZI WA JENGO LA OFISI ZA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI

Rais Jakaya Kiwete, Rais wa Kenya, Mwai Kibaki  (wapili kulia) na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza wakivuta kamba kuashiria ufunguzi wajengo jipya la makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki mjini Arusha Novemba 28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Prince Karim Aga Khan  katika sherehe za uzinduzi  wa jengo la Ofisi Kuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mjini Arusha Novemba 28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro,baada ya  sherehe za uzinduzi wa jengo la O(fisi kuu za Jumuiya ya Afrika Mashariki mjini Arusha Novemba 28, 2012. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

No comments: