![]() |
| Marehemu Judith Chikaka Mapunda enzi za uhai wake. |
![]() |
| Mume wa Marehemu Judith, Bwana Erasto Mapunda akiwa amembeba mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mkewe. |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa CCM Temeke wakitoa rambi rambi zao. |
![]() |
| Spika wa Bunge la wanafunzi wa chuo cha Ardhi akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya wanafunzi wenzake. |
![]() |
Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Suleimani Nyambui akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya wanachama na chama chao kwa ujumla.
|
![]() |
| Mume wa marehemu Judith akiweka Shada la maua katika nyumba ya milele ya mkewe. |
![]() |
| Kushoto ni mwakilishi wa Familia ya marehemu akipokea rambi rambi kutoka kwa wafanyakazi wenzake wa marehemu kutoka wizara ya Ardhi. |
![]() |
| Marehemu Judith alizikwa jana katika makaburi ya Kibada maeneo ya Kigamboni, ameacha Mume na Mtoto mmoja. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMIN. |









No comments:
Post a Comment