Tangazo

February 11, 2013

Pope Benedict XV1 ametangaza kujiuzuru

Habari kutoka Vatican zinasema Pope Benedict ifikapo tarehe 28 februari mwishoni mwa mwezi huu ndio siku yake maalum kujiuzuru kutokana na sababu za kiafya.

No comments: