Tangazo

April 22, 2013

CCM ilivyouteka Mji Kasoro Bahari

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, nape Nnauye wakiingia katika Uwanja wa Mkutano wa hadhara wa Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro,  April 21, 2013. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM kwenye Uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro, wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Uwanjani hapo April 21, 2013.

Umati ukiwa umefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika Uwanja wa Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba) mjini Morogoro Aprili 21, 2013, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane aliyofanya katika wilaya zote, mkoani Morogoro.
Nasibu Abdul 'Diamondi' akitumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM mjini Morogoro.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi' akiwa amebebwa na wasanii wake kukoleza manjonjo alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM, mjini Morogoro, Aprili 21, 2013.


No comments: