Tangazo

April 16, 2013

Kassian na Sabina wameremeta

Kassian  Ernest akimvisha pete ya ndoa mkewe Sabina Alexander katika Ibada ya misa takatifu ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Chang'ombe jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na Sherehe ya kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini . Bwana Harusi ni mwajiriwa katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Bi. Harusi ni  mwajiriwa  katika Chuo cha Elimu ya Biashara CBE.

Kassian na mkewe Sabina wakiwa katika pozi mbalimbali la picha.

No comments: