Tangazo

April 17, 2013

KUTOKA BUNGENI LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013.Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Ali Abeid.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Kutoka kushoto ni Felister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa Spika  mjini Dodoma Aprili 17,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: