Tangazo

April 18, 2013

MATUKIO BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Aprili 18,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziriwa Kilimo , Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 18 ,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Askari wa Bungeni (kulia) wakimwamuru Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kutoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Naibu Spika Job Ndugai kumtaka afanye hivyo na kukaidi. Wengine pichani ni wabunge wa Chadema wakizuia asitoke Aprili 17, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: