Tangazo

September 19, 2012

Enzi Hizo

Badi Bakule 'Jogoo la Mjini' (kushoto) na Prince Mwinjuma Muumin 'Kocha wa Dunia' (katikati), enzi zao wakiwa ndani ya Jiji la Nairobi. Hivi sasa wanamuziki hao wote wawili wanaitumikia Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini, The African Stars 'Wana wa Kutwanga na Kupepeta'.

No comments: