Tangazo

April 18, 2013

Vodacom yazindua Maduka mawili ya Huduma kwa Wateja katika Mtaa wa India na Morogoro jijini Dar

Ofisa Mkuu wa Usambazaji na Mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh (kushoto), akitoa huduma kwa wateja waliofika wakati wa uzinduzi wa duka jipya la huduma kwa wateja lililoko katika mtaa wa India jijini Dar es Salam, Vodacom imezindua maduka mawili yanayotarajiwa kupunguza msongamano katika maduka mengine ya kampuni hiyo.

Ofisa Mkuu wa Usambazaji na mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh, akimkabidhi funguo, Meneja Miradiwa Vodacom Tanzania, Sharon Rwekola, mara baada ya kuzinduliwa kwa duka jipya la kampuni hiyo lililoko mtaa wa India posta jijini dar es Salaam, Maduka hayo yanatarajiwa kupunguza msongamano kwa wateja wa kampuni hiyo.

Ofisa Mkuu wa Usambazaji na Mauzo wa Vodacom Tanzania, Hassan Salleh, akitoa huduma kwa wateja waliofika wakati wa uzinduzi wa duka jipya la huduma kwa wateja lililoko katika makutano ya barabara ya Morogoro  jijini Dar es Salam, Vodacom imezindua maduka mawili yanayotarajiwa kupunguza msongamano katika maduka mengine ya kampuni hiyo.

Meneja wa Duka la Vodacom lililoko Mtaa wa Morogoro Jijini Dar es Salaam, Sayed Shadab, akihutudumia wateja wake  baada ya uzinduzi wa duka hilo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Usambazaji na Mauzo wa Vodacom, Hassan Salleh.

No comments: