Tangazo

May 16, 2013

Msanii wa Luninga 'Dipo' sasa katika Masumbwi

Kocha wa mchezo wa masumbwi wa Klabu ya Amana CCM, Kondo Nassoro (kushoto), akimwelekeza msanii wa maigizo ya luninga, Haruna Mussa'Dipo' jinsi ya kutupa makonde alipokwenda kufanya mazoezi ya ngumi katika klabu hiyo, jijini Dar es Salaam jana ili kujiweka sawa katika kuakikishaanafanya vizuri kwenye fani yake.Picha kwa hisani ya www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: