Tangazo

June 14, 2013

Mazishi ya Mzee Julian Kibindo Lukindo, Baba Mzazi wa Suzan Mungy wa TBC

Mama Mzazi wa Suzana Mungy  bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo.
Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini  pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo.

Wakwe wa Marehemu Mzee Julian Lukindo wakiwa wana jianda kushusha jeneza ndani ya kaburi aliye vaa miwani ni Bw Inocent Mungy kulia kwake ni Bw Juma Ndambile  Mume wa Isabela.

Bibi Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye amezikwa  jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki Juni 10, 2013.

Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo. PICHA NA CHRIS MFINANGA

No comments: