Bw. Robert Otto ambae ni Mkurugenzi wa kituo cha Global Entertainment and News Network (GENN) kiliyopo Kansas City nchini Marekani. Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com) |
Mtangazaji AJ wa kipindi cha kuamshana na asubuhi njeema ndani ya Global Entertainment and News Network (GENN) kiliyopo Kansas City nchini Marekani. Katika beti hii tunawakaribisha sana katika Mahojiano haya baina ya Jamii Production na wadau wakuu wa Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani. Katika mahojiano haya, utasikia Mkurugenzi wa kituo Bw. Robert Otto na watangazaji AJ na Dada D wakizungumzia harakati zao kwenye kituo hiki kipya cha Radio https://www.youtube.com/watch?v=3iTXCt3OfWc&feature=c4-overview&list=UU73hMT_k3mSF7viBDFH51gg |
No comments:
Post a Comment