Tangazo

September 11, 2013

Msanii Chipukizi Mlang'a kutoka Arusha anadrop kitu "Mkuu wa Kaya"

Msanii Chipukizi Mlang'a anayewakilisha vyema Daraja Mbili Arusha,anadrop na ngoma "Mkuu wa Kaya" ikiwa ni kazi juu ya beat ya producer "Dizzle pande za Usanii Production studio" vocal zikiwa zimefanywa noizmekah Studios Arusha, download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Mlang'a kupitia +255 752 022 108 powered by vmgafrica.com
--------
Mlang'a-Mkuu wa Kaya http://goo.gl/6ZCfcy

No comments: