| Sehemu ya washiriki wa semina hiyo ya siku mbili. |
| Mike Mushi wa Jamii Forums akijiandaa kwa ajili ya kutoa mada. Kulia ni Mwezeshaji Innocent Mungy wa TRCA. |
| Maxence Melo wa Jamii Forums akitoa mada. |
| Bloga Benard Rwebangira akipokea cheti. |
| Bloga Jestina George wa JG Blog based in London akipokea cheti. |
| Bloga Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog akipokea cheti. |
| Bloga Francis Dande wa Habari Mseto Blog akipokea cheti. |
| Bloga Joseph Isango wa Mbeya Yetu Blog akipokea cheti. |
No comments:
Post a Comment