Tangazo

October 11, 2013

PRODUCER MAHIRI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA HELMES J BARIKI AKA HERM B ATEULIWA KUWA MMOJA WA MAJAJI KATIKA SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME

Meneja wa Kinywaji cha Tusker Bi Sialouise Shayo akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana katika hotel ya JB Belmonte juu ya Kuchaguliwa kwa Mtanzania Mwingine Kuwa Jaji katika Shindano la kusaka vipaji la Tusker Project fame

Zahir Zoro akiongelea juu ya Jaji mpya kutoka Tanzania Hermes J Bariki (Wa kwanza Kushoto) aliyechaguliwa na Tusker na kuchukua nafasi ya Zahir Zoro wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika hotel ya JB Belmonte
Jaji Mpya aliyeteuliwa na Tusker Project Fame Hermes J Bariki aka Herm B akielezea juu ya shindano la Tusker project fame na kuelezea nafasi yake yeye kama jaji ambaye amechukua nafasi ya Mzee Zahir Zoro ambaye alikuwa jaji kwa muda mrefu na Sasa Herm B kuanza zoezi la kuchuja mara baada ya shindano hilo kuanza live sasa kwa kuwapigia kura washiriki. Pembeni yake ni Jaji aliyemaliza muda wake Mzee Zahir Zoro wakati wa mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika leo katika Hoteli ya JB Belmonte

No comments: