Baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC wakiwa kwenye picha ya pamoja na Jaji mstaafu Ndugu John Tendwa mara baada ya kupokea taarifa ya SADC baada ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya uchaguzi ya kiti cha urais uliofanyika nchini Madagascar na kuhusishwa wagombea 33. Awamu ya pili na ambao utakuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika mwezi Desemba. Picha na Adam H. Mzee |
No comments:
Post a Comment