Tangazo

November 12, 2013

KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ELIAKIM MASWI AFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA BOMBA LA GESI MKOANI LINDI

Mtaalamu Mwelekezi wa kampuni ya Worley Parsons,  Pieter Erasmus (kushoto), akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na Madini, Eliakim Maswi (wa pili kushoto), jinsi uunganishaji wa bomba la gesi unavyofanyika, wakati alipifanya ziara kukagua maendeleo ya mradi wa bomba la gesi mkoani Lindi hivi karibuni.
Wafanyakazi  wakiendelea na kazi ya uchomeaji wa bomba la gesi.
Kazi ya uunganishaji wa bomba la gesi  ikiendelea.
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake.

No comments: