Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe,Bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu, Bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema akifafanua hoja za wabunge, bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment