Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung'u. Na Mpigapicha Wetu |
No comments:
Post a Comment