Tangazo

December 11, 2013

RAIS KIKWETE, MAMA SALMA KATIKA KUMBUKUMBU YA NELSON MANDELA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg jana Jumanne Novemba 10, 2013. PICHA/IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg jana Jumanne Novemba 10, 2013.

No comments: