Tangazo

January 21, 2014

MAWAZIRI WAPYA WAAPISHWA IKULU DAR

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam Januari 20.2013.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwanga, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa Naibu Waziri wa Maji, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista  Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja ya Rais Kikwete na mawaziri wote
 Picha ya pamoja ya Rais na Manaibu Waziri wapya walioapishwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na  familia yake, baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

No comments: