MC katika kumpamba Bi harusi akasema,
"Sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi, tangu mi nimfaham huwa havai nguo za ndani.
"Watu wakaduwaa. Sura ya bwana harusi ikakosa ushirikiano.
Akasema "Narudia kwa msisitizo na sijakosea, bi harusi huyu havai kabisa nguo za ndani" Watu wote mmmm?!?
Siongei kwa kubahatisha hakika sijawahi kukutana naye akiwa amevaa nguo za ndani. Watu wote nyuso chini.
Akaendelea na kusema yeye huvaa nguo za kutoka nje tu Italy, England na USA, hebu mshangilieniii!!! waalikwa, wazazi maharusi wote hoi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment