Tangazo

September 8, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: