Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati
alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma Septemba 08, 2014.
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili
ya mazungumzo nao Ikulu Ndogo mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment