Tangazo

September 15, 2014

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM KINANA IKWIRIRI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama na viongozi wa CCM waliojitokeza kumpokea.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa CCM wilaya ya Rufiji Ndugu Mohamed Moyo mara baada ya kuwasili katika wilaya ya Rufiji ambako atafanya ziara ya siku mbili.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrhman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ndie Waziri wa Afya Dk. Seif Rashidi mara baada ya kuwasili kwenye  mji wa Ikwiriri wilayani Rufiji.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrhman Kinana akisalimiana na Profesa Idris Mtulia mara baada ya kuwasili kwenye  mji wa Ikwiriri wilayani Rufiji.
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Profesa Idris Mtulia mara baada ya kuwasili kwenye  mji wa Ikwiriri wilayani Rufiji.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuranda mbao kwenye shina la wakereketwa  mafundi selemala.Kulia ni Waziri wa Afya Dk. Seif Rashid na Katibu wa Wilaya ndugu wa Mohamed Moyo wakimuangalia Katibu Mkuu akishiriki kuranda.
 Katibu wa UWT wilaya ya Rufiji Rukia Omari akifuatilia kwa makini mkutano wa  Katibu Mkuu wa CCM uliofanyika kwenye viwanja vya ofisi ya kata Utete.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana mkoa wa Pwani akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia hadhira nje ya ofisi ya jengo la kata Utete wilayani Rufiji.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake mkoani Pwani Zainabu Vulu akisalimia watu  waliojitokeza kwa wingi, kushoto ni Katibu mpya wa CCM kwa mkoa wa Pwani Joyce Masunga 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Utete ambapo aliwapa nafasi ya kuuliza maswali kwa kile alichoita mahakama ya hadhara au mahakama ya wazi kwani watu walipewa fursa ya kuhoji maswali ambayo wahusika waliyatolea majibu pale pale .

No comments: